Wolper Atoa Mpya asema ana Pesa Maalumu ya Kusafiri Ulaya Miaka Miwili


Muigizaji maarufu nchini, Jacquelin Wolper ambaye kwasasa amejikita kwenye maswala ya ubunifu wa mavazi amefunguka kuwa siku hizi amekuwa mtu wa kusafiri sana nchini za nje mpaka amefikia hatua ya kujitengea bajeti ya miaka miwili kwa ajili ya kusafiri tu na kikubwa anachofata huko ni kujifunza vitu mbalimbali.

Akipiga story na Mwandishi wa Habari Wolper amesema
"Nina Bajeti ya miaka miwili nimejiwekea kwa Ajili ya kusafiri kwenda nje ya nchini kujifunza na nchini hizo ni Singapore, Australia na Paris"

0 Comments

Previous Post Next Post