Vanessa Mdee "Mimi Sio Muongeaji Mitandaoni ila ilibidi Niseme Siku na Huyu Mtu tena'


“Mimi sio mtu wa kuzungumza chochote kwenye mitandao ya kijamii, lakini ilifika wakati nikaona ngoja niwaelezee watu ukweli, niliona ni vizuri kulinda brand yangu kwa kuweka ukweli wazi kuwa sipo na huyo mtu kwenye mahusiano, Kwa sasa nipo single” | Ameyasema hayo Vanessa Mdee katika kipindi cha XXL

0 Comments

Previous Post Next Post