Tanzia: Sam wa Ukweli afariki

Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya kuzidiwa ghafla akiwa studio, mwili wake kupelekwa katika hospital ya Mwananyamala huku Producer wake Steve aliekua akifanya kazi na Msanii huyo amesema Sam alikuwa akiumwa.
Bonyeza PLAY kumsikiliza STEVE aliyekuwa na marehemu SAM WA UKWELI mpaka umauti ulipompata…
FULL STORY: Kifo cha Sam wa Ukweli aliomba afungwe Pampers

0 Comments

Previous Post Next Post