Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo


Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezea

Bonyeza PLAY hapa chini.

0 Comments

Previous Post Next Post