Yanga Hali Bado Tete, Yaambulia Kipigo cha Tatu Mfululizo.


Klabu ya Yanga bado ipo kwenye kipindi kigumu katika mapambano ya Ligi kuu vodacom Tanzania Bara kwani leo tena imeambulia kipigo cha goli 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.

Kipigo hicho ni cha tatu mfululizo kwa klabu hiyo baada ya kuadabishwa na Simba na klabu ya Mbeya City.

Goli la mtibwa sugar limefungwa na Hassan Dilunga kunako dakika ya 82 na kwa matokeo hayo Yanga itasalia nafasi ya tatu ikiwa na alama 48 nyuma ya Simba na Azam. Tazama goli hilo la Mtibwa Sugar video by Azam TV 

0 Comments

Previous Post Next Post