Wasichana 29 Tanga Wakamatwa Wakielekea Uarabuni Kuuza Figo.


TANGA: Wasichana 29 ambao baadhi yao wamekutwa na hati feki za kusafiria wamekamatwa wakiwa wanaelekea Uarabuni kupitia nchi ya Kenya

Inadaiwa wasichana hao walikuwa wanaelekea katika nchi hizo za Uarabuni kuuza figo kwa gharama kubwa pamoja na kufanya kazi za ndani

Hivi karibuni Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkinga amewaonya wasichana hao juu ya vitendo viovu vinavyoweza kuwapata wakiwa huko ikiwa ni pamoja na kulawitiwa

0 Comments

Previous Post Next Post