Tazama Picha Jinsi Volacano Hai ilivyolipuka huko Hawii.


HAWAII: Moja kati ya Volkano hai Ulimwenguni yalipuka na kuharibu nyumba 26. Lava yaruka zaidi ya mita 100 hewani

Takribani watu 1,700 wamelazimika kuondoka katika eneo hilo na wanapaswa kukaa mbali na eneo hilo lililokuwa makazi yao kwa muda

Kilauea ni Volkano iliyo hai ambayo tangu mwaka 1983 imekuwa ikilipuka mara kwa mara

0 Comments

Previous Post Next Post