Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond.

Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond

Weekend iliyomalizika mpenzi wa Harmonize, Sarah aliingia kwenye headlines za uzito wa juu mara baada ya kuibuka taarifa zilizodai anatoka kimapenzi na Bodyguard wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter.

Sasa Sarah ameibuka na kueleza kuwa anatabasamu kwa kile kinachoendelea kwani yeye si mwanamke wa aina hiyo, mpenzi wake ni Harmonize na hakuna wengine katika katika maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

I smile for the novels of Instagram hahaha really, I’m sorry for you but I’m not that kind of woman and
as long as I stay with my man Harmonize there will not be other people in my life and I love him more than you can imagine.

So if you want these kikki novels, go look for them on other pages… oh I forgot for all the PEOPLE who speak badly don’t worry that I will come to look at you.


Diamond na Mwarabu Fighter

Taarifa zilizodai kuwa Sarah anatoka kimapenzi na Mwarabu Fighter ziliibuliwa na mwanadada maarafu mtandaoni, Mange Kimambi. 

0 Comments

Previous Post Next Post