Mwanafunzi aliyejinyonga aagwa, wenzie wasimulia mazito.


Leo May 12, 2018 Luciana Olutu alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo cha Makumira Arusha na amefariki dunia May 7 mwaka huu baada yakujinyonga kwa kile kinachodaiwa ni msongo wa mawazo baada ya mtoto wake kufariki.

Wanafunzi ambao wamesoma naye wameelzea jinsi Marehemu Luciana alivyojaribu kujiua zaidi ya mara mbili na kilichoandikwa katika barau.

VIDEO:


Source:Millard 

0 Comments

Previous Post Next Post