Matokeo na Ratiba ligi kuu Tanzania Bara.Simba kuwavaa Ndanda jumapili ya leo.


Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea tena Jumamosi ya jana kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja tofauti.

Singida United iliyokuwa katika Uwanja wake wa nyumbani imefanikiwa kuibuka na ushindi mnene wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji ya Jombe.

Mabao hayo yalitiwa kimiani na Kambale Salita dakika ya 42,Miraji Adam 60', Mundia 62' na Nizar Khalfan katika dakika ya 90.

Mchezo mwingine uliopigwa Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya,ulimalizika kwa wenyeji kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Lipuli FC likifungwa na Mpalile mnamo dakika ya 9.

MECHI ZA LEO:


0 Comments

Previous Post Next Post