Kwanini watumishi wa Mungu hawamuelewi Goodluck Gozbert?.

Praise the lord..
Hivi kwanini watu wamejaribu kumuandama Goodluck Gozbert mara nyingi watumishi wa Mungu wamekuwa wakimuona wa dunia na sababu zao kubwa ni uvaaji wake utunzi wake.

Pia amekuwa akiwatungia nyimbo wasanii wa Bongo Flava kama  Baraka The Prince na wengine

Suala lingine ya kuwa uimbaji wake hajawahi taja jina la Yesu

Nyie mnamuelewaje kwani???

0 Comments

Previous Post Next Post