Kocha msaidizi wa Manchester United,Rui Faria kuiacha klabu mwishoni mwa msimu huu.


Kocha msaidizi wa Jose Mourinho na Manchester United "Rui Faria" ataiacha klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Mreno huyo,ambaye amekuwa msaidizi wa Mourinho katika kazi yake ya usimamizi,huenda akachukua matazamio ya kuwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza,yeye kama yeye.

0 Comments

Previous Post Next Post