Kichuya Azuiliwa na Baba Yake Kuongeza Mkataba Mwingine Simba

Kichuya Azuiliwa na Baba Yake Kuongeza Mkataba Mwingine Simba

BABA Mzazi wa Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya mzee Ramadhani Kichuya amemzuia mwanaye kuongeza mkataba mwingine mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo hadi atakapojua muafaka wake wa kwenda klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.

Mazembe ni kati ya klabu zilizoonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika juni mwaka huu wakati Ligi Kuu Bara ikiwa imemalizika. 

0 Comments

Previous Post Next Post