Hii imekaaje? Alikiba Amfananisha Diamond na ".........."


Jana ilikuwa siku maalumu kwa ajili ya mahojiano ya Kiba pale mawingu (Clouds) media, wenyewe wanakwambia ALIKIBA DAY. Baadhi ya maswali aliyoulizwa ni jinsi alivosalimiana na hasimu wake mkubwa Diamond Platnumz kwa kumgeuzia kiganja cha mkono, hakusita kusema kila mtu anasalimiwa kwa style yake, hata Wanawake wanakuwa na Salamu zao jinsi ya Kuwapa mkono , Akimanisha utofauti uliopo pindi unaposalimiana na mwanamke au mwanaume.

0 Comments

Previous Post Next Post