Hamisa Mobetto 'Wema Sepetu Anaroho Nzuri Sana, Siku Shangaa Alivyobariki Diamond Anioe.

Mrembo Hamisa Mobetto amehojiwa na Wasafi TV kuhusu kauli ya Wema Sepetu ya Kubariki Diamond Kumuoa na amefunguka hivi

"Ni Kitu ambacho kutoka kwa Dada Wema is not a suprise coz unajua nini Dada Wema ana roho safi hawezi kusema kitu ambacho hamanishi coz namjua alivyo na hana tatizo na couple yetu ni kama ametupa baraka" Hamisa

0 Comments

Previous Post Next Post