DFG Universal Music watoa top 10 ya wasanii Bongo,Kiba ashika namba 5 nyuma kidogo ya Aslay.


Wakuu kampuni Kubwa ya muziki , AR na burudani Afrika (HQ Johannesburg South Africa and Lagos Nigeria) DFG Universal Music muda mchache uliopita wametoa top 10 ya wasanii wa Tanzania kupitia kituo cha TV cha TRACE,wanadai wameangalia influence kwny s/network, mkwanja,viewship,trending ,hela, shoo na vitu kibao wamevitaja. Utafiti wao uliwafuatilia wasanii kadhaa waliojuu kwa kipindi cha miezi 9 iliyopita.
Hii list wamedai ni ya wasanii wanaofanya mziki wa kuimba (Afropop na RNB). Wakinadada watatu wamepenya kwenye nyavu.
List yao ilikuwa hivi
1.Diamond (nilitegemea)
2.Harmonize
3.Vanessa Mdee
4.Aslay
5.Ali Kiba
6.Baraka Da Prince
7.Rayvan
8.Mavoko
9.Jux
10.walipewa Maua Sama, Ben Pol na Nandy.

0 Comments

Previous Post Next Post